Details
Nina ujuzi wa kutengeneza milango ya chuma Kwa kuchomelea na kwakutumia rangi nzuri ambazo zitafanya mlango wako uvutie pia nina msikiliza mteja wangu na kumpatia ushauri pale unapo hitajika
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina walinzi ambao Wana nisaidia kulinda ofisi yangu nyakati zote
Quality Control
Milango yangu Una ubora wa Hali ya juu ukilinga Nisha na ya watu wengine
Budget Control
Nina piga mahesabu yangu Kwa umakini ili kuhakikisha budget ninayo ipanga inatosha
Schedule Control
Nina balasi mda wangu vizuri ili kuhakikisha mteja ana tengenezewa kazi yake Kwa muda sahihi tulio kubaliana
Satisfaction Control
Nina muuliza mteja wangu baada ya kutumia milango yangu Kama ameridhika na kazi yangu au la
Category
Door Installation, Welding
Chronology
Published6 Aug 2024
Modified6 Aug 2024
AuthorMalaki Fransis