Details
Nina ujuzi wa kufunga gate ambazo ni automatic na niko na mafundi wengine wenye uzoefu wa kutosha katika kazi hii, gate hizi mteja wetu ataweza kufunga na kufungua geti lake Kwa kutumia remote control pamoja na simu yake ya smartphone,pia mteja ataweza kufuatilia na kujua tatizo lililoko kwenye geti Kwa kutumia simu yake ya mkononi
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ufungaji wa geti zinafanyika hapo hapo site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa geti
Tuna zingatia ufungaji mzuri na kuunganisha moja Kwa moja na simu
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima ya ufungaji wa geti
Schedule Control
Tuna zingatia kazi inakabidhiwa Kwa mteja wetu Kwa muda ulio pagwa
Satisfaction Control
Tuna hakikisha ubora wa kazi na mteja anaridhika na kazi yetu
Category
Gate Installation, Security Systems
Chronology
Published22 Aug 2024
Modified22 Aug 2024
AuthorIbrahim Makbel