Details
Nina toa huduma ya uchimbaji na kuweka mabomba ya umeme ,nina mafundi walio bobea kwenye kazi hii na Wana uwekedi wa kutosha ,pia tuna tumia vipimo Ili kuhakikisha tuna weka mabomba vizuri Kwa ajili ya kufanya wiring ya umeme,pia tuna msikiliza mteja wetu ana hitaji nyumba yake iwe na ramani gani ya umeme
Materials Included
- Bomba za umeme (Item)
- Cement (Per Kilogram)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za uchimbaji wa mabomba Zina fanyika site hivyo ulinzi ni wakutosha mno
Quality Control
Tunazingatia ramani ya nyumba
Tuna zingatia mteja anataka nyumba iweje
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima ya material zitakazo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi inaisha Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yetu
Category
Electricity Safety, Wiring
Chronology
Published22 Aug 2024
Modified22 Aug 2024
AuthorIbrahim Makbel