Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 113.87 / Sq Metre Sq Metre
Duration
4 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Ronald Shayo
Ronald Shayo
Fundi umeme Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kuchukua ramani ya nyumba na kuseti namna ya kuweka mifumo ya umeme pamoja na kuchimbia bomba za umeme kwa kazi hii mteja anasikilizwa kwanza kwa kile anacho kihitaji na kuhakikisha ana sikilizwa na kupatiwa ushauri kama utahitajika pia nina mpatia gharama ya vifaa vitakavyo tumika kwenye uchimbaji na uwekaji wa mabomba hayo ya umene

Materials Included

  • Mabomba (Metre)

Quality & Control Plan

Safety Control Shuguli za uchimbaji wa mabomba zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Nina zingatia ubora wa ramani ya nyumba
Budget Control Nina mpatia mteja idadi nzima ya vifaa vitakavyo tumika na gharama zake
Schedule Control Nina enda na muda
Satisfaction Control Nina hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yangu

Category

Electricity Safety

Chronology

Published4 Sep 2024

Modified4 Sep 2024

AuthorRonald Shayo

Tags

No tags available

Service Data

Category
Electricity Safety
Type
Physical Work
Rate
USD 113.87 / Sq Metre
Duration
4 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Ronald Shayo
Comments
No reviews recorded