Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 113.87 / Sq Metre Sq Metre
Duration
2 Sq Metre Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Seif Athumani
Seif Athumani
Fundi umeme Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kufunga umeme wa fensi kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu pia niko na mafundi ambao wamebobea katika swala zima la ufungaji wa fensi za umeme na kuhakikisha kazi yako ina kuwa na ubora wa hali ya juu pia nina msikiliza mteja kwa kile anacho kihitaji na kumpatia kile kilicho bora na pia mteja anapatiwa orodha ya gharama zitakazo tumika kwenye ujenzi na kupatiwa ushauri ni bure kabisa kwa wateja wetu

Materials Included

  • Nyaya za umeme (Metre)

Quality & Control Plan

Safety Control Nina hakikisha usalama wa vifaa kwani shughuli za uwekaji wa fensi ya umeme zinafanyika site
Quality Control Tuna zingatia ubora wa kazi
Budget Control Mteja anapatiwa gharama nzima za ufungaji wa fensi ya umeme
Schedule Control Tuna zingatia muda wa kumalizia kazi
Satisfaction Control Tuna hakikisha mteja wetu ameridhishwa na kazi zetu

Category

Electricity Safety, Security Systems

Chronology

Published4 Sep 2024

Modified4 Sep 2024

AuthorSeif Athumani

Tags

No tags available

Service Data

Category
Electricity Safety, Security Systems
Type
Physical Work
Rate
USD 113.87 / Sq Metre
Duration
2 Sq Metre
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Seif Athumani
Comments
No reviews recorded