Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 113.87 / Sq Metre Sq Metre
Duration
3 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Ronald Shayo
Ronald Shayo
Fundi umeme Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kufunga wiringi majumbani na maofisini pamoja na sehemu yeyote ile ambayo inahitaji huduma hizi ya wiring kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa hali ya juu pia nina msikiliza mteja na kumpatia gharama nzima ambayo itaenda kutumika kwenye uwekaji huo wa wiring na kuhakikisha na mpatia kile kilicho bora na ushauri kwangu ni bure kabisa kwa wateja wangu.

Materials Included

  • Nyaya za umeme (Metre)
  • Kebo (Item)
  • Switch (Item)

Quality & Control Plan

Safety Control Shuguli zote za uwekaji wa wiring Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Nina zingatia ubora wa kisasa
Budget Control Mteja anapatiwa gharama nzima za vifaa vitakavyo hitajika
Schedule Control Nina hali muda
Satisfaction Control Nina hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yangu

Category

Electricity Safety

Chronology

Published4 Sep 2024

Modified4 Sep 2024

AuthorRonald Shayo

Tags

No tags available

Service Data

Category
Electricity Safety
Type
Physical Work
Rate
USD 113.87 / Sq Metre
Duration
3 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Ronald Shayo
Comments
No reviews recorded