Details
Nina toa huduma ya kuuza mashine na kukufungia geti hizi zinazo tumia remote Kwa ubora na kisasa zaidi,mteja atatumia remote pale anapo taka kufungua geti lake na litajifunga automatic lenyewe pia mashine zetu ni imara sana na tunampa mteja wetu warrantee mwaka mzima.
Materials Included
- Geti (Item)
- Mashine ya remote (Item)
Quality & Control Plan
Safety Control
Ulinzi ni wakutosha kwani shuguli zote za ufungaji wa geti unafanyika site
Quality Control
Tuna mafundi wenye uzoefu
Tuna hakikisha geti lina fungwa vizuri
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima ya vifaa na ufungaji
Schedule Control
Tuna zingatia muda tulio kubaliana na mteja wetu
Satisfaction Control
Tuna hakiki mteja ana ridhika na kazi zetu
Category
Gate Installation
Chronology
Published22 Aug 2024
Modified22 Aug 2024
AuthorMussa Shengena