Details
Nina uzoefu wa kufunga fensi za umeme kuzunguka eneo la nyumba, viwandani na maofisini Kwa ajili ya ulinzi zaidi pia tunakufungia Kwa ubora endapo mwizi atajaribu kupitia atapigwa shoti na tuna funga kingora endapo mwizi atajaribu kukata nyaya kitapiga kelele na kuku julisha kuwa Kuna tatizo
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ufungaji wa fensi ya umeme Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ufungaji ulio bora
Tuna hakikisha kingora kina Lia pale kunapo kuwa na shida
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu ghara nzima ya ufungaji wa fensi
Schedule Control
Tuna hakikisha tuna maliza Kwa muda tulio kubaliana na mteja wetu
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana pata kile kilicho bora
Category
Electricity Safety, Security Systems
Chronology
Published22 Aug 2024
Modified22 Aug 2024
AuthorMussa Shengena