Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 7.21 / Metre Metre
Duration
1 Metre Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Mussa Shengena
Mussa Shengena
Kufunga mageti ya remote, kufunga milango yenye camera, kufunga uzio wa umeme Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina uzoefu wa kufunga fensi za umeme kuzunguka eneo la nyumba, viwandani na maofisini Kwa ajili ya ulinzi zaidi pia tunakufungia Kwa ubora endapo mwizi atajaribu kupita atapigwa shoti na tuna funga kingora endapo mwizi atajaribu kukata nyaya kitapiga kelele na kuku julisha kuwa Kuna tatizo

Materials Included

  • Waya wa chuma (Metre)

Quality & Control Plan

Safety Control Shuguli zote za ufungaji wa fensi ya umeme Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Tuna zingatia ufungaji ulio bora Tuna hakikisha kingora kina Lia pale kunapo kuwa na shida
Budget Control Tuna mpatia mteja wetu ghara nzima ya ufungaji wa fensi
Schedule Control Tuna hakikisha tuna maliza Kwa muda tulio kubaliana na mteja wetu
Satisfaction Control Tuna hakikisha mteja ana pata kile kilicho bora

Category

Electricity Safety, Security Systems

Chronology

Published22 Aug 2024

Modified22 Aug 2024

AuthorMussa Shengena

Tags

No tags available

Service Data

Category
Electricity Safety, Security Systems
Type
Physical Work
Rate
USD 7.21 / Metre
Duration
1 Metre
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Mussa Shengena
Comments
No reviews recorded