Details
Nina toa huduma ya ufungaji wa kengele za milangoni zenye camera, na kengele hizi ni muhimu kutumika majumbani na maofisini kwani utaweza kuwasiliana moja Kwa moja na mgeni aliyeko mlangoni au getini bila yeye mwenye kujua kama unamuona na mtaweza kumaliza maongezi yenu hapo hapo, mgeni ata bonyeza kengele na automatic screen ya ndani( video door phone) itaita na mtaweza kuwasiliana bila shida yeyote.
Materials Included
- Video door phone (Item)
- Video bell door (Item)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ufungaji wa kengele Zina fanyika hapo hapo site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna hakikisha ubora wa camera Ili mtu aweze kuonekana vizuri
Tuna zingatia ufungaji mzuri Ili mtu wa ndani na wanje wawasiliane vizuri
Budget Control
Tuna hakikisha mteja ana patiwa nzima ya vifaa na kufungiwa
Schedule Control
Tuna zingatia muda wa kumaliza kazi Kwa wateja wetu
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ame ridhishwa na kazi zetu
Category
Security Systems
Chronology
Published22 Aug 2024
Modified22 Aug 2024
AuthorMussa Shengena