Details
Nina toa huduma ya kufunga umeme kwenye fensi na sehemu yeyote inayo hitaji huduma ya kufungiwa umeme kwani nina zingatia ubora wa kisasa na niko na mafundi walio bobea kwenye swala Zima la ufungaji wa system za fensi za umeme.
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ufungaji wa umeme wa fensi Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa vifaa
Tuna zingatia ufungaji mzuri Ili kuepusha shoti
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima itakayo tumika kwenye ufungaji wa umeme wa fensi
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi ina isha Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha anaridhika na kazi zetu
Category
Electricity Safety, Security Systems
Chronology
Published23 Aug 2024
Modified23 Aug 2024
AuthorDenice Mboya