Details
Nina jishugulisha na ufungaji wa taa kwenye uzio ambazo ni automatic na Zina uwezo wa kujiwasha zenyewe nyakati za usiku na kuhakikisha nyumba ina kuwa na usalama wa kutosha pia mteja kwetu ni mfalume na anapata kile anacho sitaili
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ufungaji wa taa zina fanyika hapo hapo site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ufungaji mzuri Ili kuhakikisha taa Zina Waka na kuzima automatic
Budget Control
Tuna mpatia mteja gharama nzima za ufungaji wa taa
Schedule Control
Tuna hakikisha mteja ana kabidhiwa Kazi yake Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Category
Electricity Safety, Security Systems
Chronology
Published23 Aug 2024
Modified23 Aug 2024
AuthorNasiad Omary