Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Usikubali kuishi gizani
Masomo yote
Nina ushukuru uongozi wa shule yangu ya msingi Kwa malezi bora na kupitia elimu hii niliyo ipata imekuwa msaada kwangu kwani nimeweza kujifunza kusoma na kuandika na stadi za kazi nilizo fundishwa shuleni zimenisaidia kujifunza vitu nje ya shule.