Details
Nina uzoefu wa kuweka taa za solar majumbani Kwa kuzingatia taa zenye ubora na zinazo dumu Kwa muda mrefu,pia nina toa ushauri bure Kwa wateja wangu Kwa kuzingatia ubora wa vifaa ambavyo wanatakiwa kununua na nina hakikisha mteja anapata huduma iliyo bora kabisa
Materials Included
- Taa za solar (Item)
- Chuma cha kufungia solar (Item)
Quality & Control Plan
Safety Control
Ulinzi ni wakutosha kwani shuguli zote Zina fanyika hapo hapo site
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa taa za solar na kuzifunga vizuri kuzuia maji kutuama wakati wa mvua
Budget Control
Tuna mpatia mteja gharama nzima ya material zitakazo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi inaisha kulingana na muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna msikiliza na kuuchukua ushauri wake
Category
Solar Electricity
Chronology
Published21 Aug 2024
Modified21 Aug 2024
AuthorNassoro Goza