Details
Tuna toa huduma ya ufungaji wa power backup Kwa kutumia vifaa bora na mabetri yenye nguvu ya kutunza umeme ,pia tuna set system automatic Ili iweze kujiwasha pale umeme unapo katika
Quality & Control Plan
Safety Control
Tuna hakikisha usalama wa kazi kwani shuguli zote za ujenzi Zina fanyika hapo hapo site
Quality Control
Tuna hakikisha ubora wa kufunga mifumo ya power backup
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima za vifaa vitakavyo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi ina kabidhiwa Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha ubora na mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Category
Solar Electricity
Chronology
Published21 Aug 2024
Modified21 Aug 2024
AuthorRichard Tarimo