Details
Nina mafundi walio bobea ambao Wana fanya hizi kazi Kwa umakini na ubora Kwa kuzingatia vifaa vilivyo bora na tuna toa ushauri bure kabisa Kwa wateja wetu
Quality & Control Plan
Safety Control
Tuna hakikisha usalama wa vifaa kwani kazi zote Zina fanyika site
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa taa na chuma za kufungia taa
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima itakayo tumika kwenye ufungaji wa taa za solar
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi inaisha Kwa muda tulio kubaliana na mteja
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhika na kazi yetu
Category
Light Installation, Solar Electricity
Chronology
Published21 Aug 2024
Modified21 Aug 2024
AuthorRichard Tarimo