Details
Nina toa huduma ya ufungaji wa taa za bustani Kwa kuzingatia ubora wa taa na nina hakikisha taa Zina fugwa vizuri Ili kuzuia maji kuharibu mifumo ya taa wakati wa kumwagilia bustani, pia mteja kwetu ni mfalume hivyo ushauri anapatiwa Bure kabisa
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ufungaji wa taa Zina fanyika bustanini hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa taa za bustani ambazo siyo rahisi kuingia kutu na kuharibika na maji
Budget Control
Tuna hakikisha mteja ana patiwa bajeti nzima ya material zitakazo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi zina Isha Kwa muda ulio pangwa
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalume hivyo anasikilizwa Kwa ushauri wake
Category
Light Installation
Chronology
Published21 Aug 2024
Modified21 Aug 2024
AuthorNassoro Goza