Details
Nina uzoefu wa kutosha katika swala Zima la ufungaji wa solar na nina tumia vifaa vilivyo bora na vya kisasa Ili kuhakikisha mteja wangu ana ridhishwa na kazi zangu pia ushauri ni bure kabisa Kwa wateja wangu
Materials Included
- Solar panel (Item)
- Nyaya za umeme (Item)
Quality & Control Plan
Safety Control
Tuna hakikisha usalama wa kazi na vifaa kwani shuguli zote Zina fanyika site
Quality Control
Tuna hakikisha mteja ana patiwa ushauri juu ya solar nzuri na zenye ubora wa kukusanya miale ya juu
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima ya material zitakazo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi inakabidhiwa Kwa mteja wetu Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Category
Solar Electricity
Chronology
Published21 Aug 2024
Modified21 Aug 2024
AuthorEmanuel Manyanga