Author: Othman Kibangala
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha kwenye swala zima la upakaji wa rangi, uwekaji wa gypsum board na urembo (decoration) nime fanya kazi nyingi na sehemu tofauti tofauti hivyo nina ubunifu wa kila aina kwenye kazi hizi na ninaifanya nyumba yako iweze kuwa na mvuto wa kisasa zaidi
