Author: Peter Wihenge
Mimi ni fundi niliye bobea kwenye swala Zima la uwekaji wa mabomba majumbani na maofisini Kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa zaidi, pia nipo na mafundi wenzangu ambao Wana ujuzi wakutosha hivyo kazi yako ina kuwa kwenye viwango vizuri kabisa na tuna zingatia vipimo wakati wa kuweka mabomba.
