Author: Rama Shemng'indo
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kuezeka Mapaa Kwa kutumia mabati ya aina mbali mbali kama vile Msouth migongo mipana na migongo midogo,Simba dumu pamoja na mabati ya vigae(versatile),pia mimi nifundi ambaye nabadilika kulingana na mazingira ya ufundi yanavyo badilika kama viile mitindo mipya ya uezekaji , hivyo nina muhakikishia mteja kuwa nina uwezo waku mjengea kile kilicho bora na hato weza kujutia kufanya kazi na mimi.
