Author: Rhymes Raphael
Nina ujuzi wa kutengeneza mabanda ya mifugo yanayo hamishika kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine pia nina zingatia ubora wa kisasa na mabanda haya ni kwa mifugo kama vile kuku,Bata, sungura, njiwa, na mbwa nina tengeneza kwa ubora na kwa umakini wa hali ya juu na kuhakikisha mteja wangu ana pata kile anacho kihitaji pia nina fika mikoa yote kwa huduma hizi.
