Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Uaminifu kwenye kazi yako ni jukumu letu
Science
Elimu ya sekondari imekuwa msaada mkubwa kwangu kwani kupitia elimu hii nimeweza kukua kiakili na pia nimeweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo kutumia fursa na hadi sasa nimeweza kujiajiri mimi mwenyewe binafsi na kujipatia kipato changu.