Details
Nina ujuzi mzuri wakiweka tiles kwenye ngazi za majumbani pamoja na ofisini kwa aina tofauti tofauti pia nina zingatia ubora na ubunifu wa kisasa kwani nina tumia vipimo vilivyo bora na vinavyo iwezesha nyumba yako kuwa na mvuto mzuri zaidi pia mteja wangu nampatia gharama nzima za uwekaji wa tiles na kazi ina kamilika kwa wakati.
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina muhakikishia mteja wangu usalama wakutosha kwani kazi zote za uwekaji wa tiles Zina fanyika site.
Quality Control
Nina mpatia ushauri wa tiles bora zakutumia
Nina hakikisha eneo lina pimwa vizuri
Budget Control
Mteja ana patiwa makadirio ya gharama kabla kazi haijaanza
Schedule Control
Nina zingatia muda wa kuanza kazi na kukabidhi kazi
Satisfaction Control
Mteja wangu ana sikilizwa kwa maoni juu ya alivyo iona kazi yake
Chronology
Published28 Aug 2024
Modified28 Aug 2024
AuthorSalumu Kihombo