Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 0.95 / Sq Metre Sq Metre
Duration
2 Sq Metre Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Regional Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Salumu Kihombo
Salumu Kihombo
Builder Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina hakikisha napima eneo langu la kazi vizuri kabla sijaanza kujenga pia nina mpatia mteja wangu makadirio ya gharama nzima zitakazo tumika kwenye uwekaji wa tiles na pia nina mpatia ushauri pale unapo hitajika na mwisho kabisa kazi inakamilika na kukabidhiwa kwa mteja kwa muda tulio kubaliana.

Materials Included

  • Tiles (Item)
  • Cement (Per Kilogram)
  • Mchanga (Per Tonne)
  • Pima maji (Item)

Quality & Control Plan

Safety Control Kazi inafanyika site hivyo usalama ni mkubwa.
Quality Control Nina zingatia kumpatia mteja wangu ushauri wa tiles imara Nina zingatia vipimo Nina hakikisha eneo langu la kazi ni safi ili kuzuia makosa madogo madogo.
Budget Control Nina mpatia mteja makadirio ya gharama nzima zitakazo tumika
Schedule Control Nina zingatia muda katika ufanyaji wangu wa kazi na kukabidhi kazi kwa wakati.
Satisfaction Control Mteja wangu nampa nafasi ya kuongea na kutoa maelezo juu ya kazi yangu

Category

Tiling

Chronology

Published28 Aug 2024

Modified28 Aug 2024

AuthorSalumu Kihombo

Tags

No tags available

Service Data

Category
Tiling
Type
Physical Work
Rate
USD 0.95 / Sq Metre
Duration
2 Sq Metre
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Regional
Provider
Salumu Kihombo
Comments
No reviews recorded