Author: Shafii Hassani
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha katika swala zima la uchomeleaji wa mageti,magrili, madirisha na vitanda nina uzoefu wa kutosha na nina tumia vifaa vilivyo Bora na vinavyo niwezesha kufanya kazi Kwa ufanisi, pia kwa huduma hii naweza kuku fikia popote pale Tanzania na tuna hakikisha mteja wetu anapata kile kilicho bora na kufurahia kazi zetu.
