Details
Biodigester ni mbadala wa septick tank am ayo hukaa Kwa mda mrefu na pia huzingatia mazingira kuwa salama bila harugu mbaya pia na kwenda sambaba naabadiliko ya kiteknoji na Kwa Bei rahisi
Materials Included
- 6simenti,mchanga gari Moja la tan 7, wiremeasure Moja, nondo mbili mm12, mbao 4 za 1 by 8, cloudy Moja , PVC 1nchi nne na elbow1 (Per Contract)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kwakua haiusishi matumizi ya kuchimba sana hivyo ni Salam Kwa mteja na wanaotengeneza
Quality Control
Tunatumia matofali maalumu ambayo yata hakikisha ubora wa kazi hii Kwa muda mrefu huku tukitoa na guarantee ya miaka tano
Budget Control
Kwakua tunatumia vifaa Kwa kuchukua Kwa watu wakuaminika bajeti itakuwa ya kawaida Kwa vitu bora
Schedule Control
Kazi itakabidhiwa Kwa mda ulio pangwa na tutamkabidhi katika ubora ulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja atapewa guarantee ya miaka mitano kumuonyesha kwamba Mali ni saf na yy aridhike
Category
Biogas Installation
Chronology
Published16 Aug 2024
Modified16 Aug 2024
AuthorDoviko Luoga