Details
Tunatengeneza biogas kwa kutumia kinyesi cha ng'ombe au kuku au binadamu. Tunaanza na ya ukubwa wa mita za ujazo 10 na kuendelea ambayo inahitaji kuku wa kwenye cage (au kinyesi kisicho na mapumba au Maranda) 500 au ng'ombe 3 au kama binadamu ni maeneo ya shuleni. Kazi inafanyika ndani ya siku 14 mpaka 21 popote pale tanzania na East Africa.
Quality & Control Plan
Safety Control
Tunahakikisha mafundi wamevaa kofia ngumu na viatu
Tunatumia ngazi imara kwa ajili ya kupanda juu
Quality Control
Tunatumia vifaa na matofali bora kutoka kwa watengenezaji bora
Zingatia uchanganyaji wa sementi na mchanga kwa viwango vilivyotakiwa
Budget Control
Tunatumia vifaa imara visivyohitaji pesa kubwa kutoka kwa watu wanaovitengeneza
Schedule Control
Na hakikisha mtamkabidhi mteja ndani ya muda tuliokubaliana
Satisfaction Control
Mteja atajidhihirisha kwa kukagua na kuwasha gesi ndani yake ya nyumba yake au taa kama zipo
Category
Biogas Installation
Chronology
Published20 Aug 2024
Modified20 Aug 2024
AuthorJoseph Mwemezi