Details
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 15 katika uwekaji wa uwekaji wa habari gesi katika nyumba yako kwa njia ya kisasa upatikanaji wa majiko pia imefanya kazi mkoa wa dar es salaam na mikoa mingine tofauti katika mashule arusha na mashule mengine makubwa hii gesi kwa kutumia majitaka
Quality & Control Plan
Safety Control
kuvaa vifaa vya kujikinga na hatari kama gloves mikono na mabuti
Kama inavyoonekana ni kwa kutumia ngazi yenye uimara kuhakikisha watu hawaanguke wakiwa juu
Quality Control
Kwa kutumia matofali ya kisasa a special kwa ajili ya kazi
Kuzingatia uchanganyaji wa sementi na mchanga wakati wa wekaji wa matofali ili kuhakikisha uimara
Budget Control
Kwa kutumia vifaa vyenye ubora kwa bei nafuu kutoka kwenye maduka ya kuaminika tunayoyajua hii itachangia kupunguza bajeti
Schedule Control
Sijaita takabidhiwa huduma yake ndani ya muda tuliokubaliana
Satisfaction Control
Mteja atafanya ukaguzi nakutest kama gesi inafanya kazi kwa kuhakikisha mna mahali popote pana default
Category
Biogas Installation
Chronology
Published20 Aug 2024
Modified20 Aug 2024
AuthorPhilipo Mremi