Details
Nina uzoefu wa kutengeneza na kuweka paving kwenye nyumba mbalimbali katika maua tofauti tofauti ndani ya Tanzania
Materials Included
- paving blocks, mashine ya kushindilia (40 Sq Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
kutokumwaga maji kwenye mchanga wa kupangia paving
Quality Control
kubuni maua mazuri na kupanga vizuri ili kudumu muda mrefu
Budget Control
kufanya kazi muda mfupi na kumaliza kazi kwa ufanisi
Schedule Control
kufanya kazi kila siku asubuhi mpaka kazi inapoisha
Satisfaction Control
kumaliza na kukabidhi kazi kwa wakati kwa mteja
Chronology
Published19 Aug 2024
Modified19 Aug 2024
AuthorFelix Msanze