Details
Nina uzoefu wa kuweka paving katika nyumba kwa maua ya aina tofauti tofauti popote nchini
Materials Included
- paving blocks (300 Per Single Floor House 150 Sqm)
Quality & Control Plan
Safety Control
kuweka nailoni chini kuepusha mchanga kuondoka mvua ikinyesha
Kutunza paving kwenye sehemu sahihi.
Quality Control
Kutumia mashine katika kushindilia mchanga
Kuweka mfuko kudhibiti maji mvua inaponyesha
Budget Control
Kumaliza kazi kwa muda mfupi kupunguza gharama
Schedule Control
Kufanya kazi kila siku kuanzia asubuhi mpaka jioni
Satisfaction Control
Kukabidhi kazi kwa wakati mliokubaliana na mteja
Chronology
Published2 Sep 2024
Modified2 Sep 2024
AuthorEmmanuel Mlay