Details
Nina uzoefu wa kuweka paving katika maua tofauti tofauti kwenye nyumba mbalimbali nchini.
Materials Included
- paving blocks (30 Sq Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
kufanya kazi siku ambazo hakuna mvua kuepusha mchanga kwenda mwingi
Quality Control
kubuni na kutengeneza maua mazuri ya kipekee
Budget Control
kufanya kazi kwa muda mfupi
Schedule Control
kufanya kazi kila siku kuanzia asubuhi mpaka jioni
Satisfaction Control
Kumsikiliza mteja anachotaka na kukamilisha kazi kwa wakati
Chronology
Published19 Aug 2024
Modified19 Aug 2024
AuthorTyson Samson