Nina uwezo wa kutumia mabati ya vigae kupaua nyumba Kwa ubunifu zaidi Kwa kutumia vipimo ilikufanya paa liwe na slope nzuri Kuzuia taka taka na maji kutuama, pia nina mpa mteja bajeti ya vifaa vitakavyo tumika na kumpatia ushauri mteja wetu.
Published2 Aug 2024
Modified2 Aug 2024
AuthorMaclean Mbukwa