Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 569.34 / Per Single Floor House 150 Sqm Per Single Floor House 150 Sqm
Duration
7 Per Single Floor House 150 Sqm Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Per Single Floor House 150 Sqm)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Emmanuel Simon
Emmanuel Simon
Fundi mapaa Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nime bobea katika swala zima la upauaji Kwa kutumia mabati ya vigae kwani nina tumia vifaa vizuri ambavyo vina niwezeshe kupima na kukata bati na pia kwenye usukaji wa mbao pia nina msikiliza mteja wangu anataka paa lake liweje na kumpatia mahesabu ya vitu vitakavyo hitajika kukamilisha kazi hiyo na mwisho natoa ushauri bure kabisa kwa wateja wangu

Materials Included

  • Mbao (Per Second)
  • Fisher board (Per Second)
  • Misumari (Per Second)
  • Valley (Per Second)
  • Kofia (Per Second)
  • Mabati ya versatile (Per Second)

Quality & Control Plan

Safety Control Nina hakikisha vifaa vina wekwa sehemu nzuri ambayo siyo rahisi kuibuwa
Quality Control Nina tumia vipimo ili kuhakikisha paa Lina kuwa zuri na lakuvutia Nina nunua vifaa vyangu kwenye maduka mazuri na vyenye ubora wa kisasa
Budget Control Nina hakikisha mteja wangu na mpatia gharama nzima itakayo tumika kabla ya kuanza kazi
Schedule Control Nina hakikisha mda nilio kubaliana na mteja wangu ndy huo huo na maliza kazi yangu
Satisfaction Control Nina msikiliza mteja wangu yeye ana toa maoni gani kulingana na kazi yangu niliyo ifanya

Category

Corrugated Sheet Roofing, Shingle Roofing, Tile Roofing

Chronology

Published9 Aug 2024

Modified9 Aug 2024

AuthorEmmanuel Simon

Tags

No tags available

Service Data

Category
Corrugated Sheet Roofing, Shingle Roofing, Tile Roofing
Type
Physical Work
Rate
USD 569.34 / Per Single Floor House 150 Sqm
Duration
7 Per Single Floor House 150 Sqm
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Emmanuel Simon
Comments
No reviews recorded