Details
Nina ujuzi na uzoefu wa kupaua Kwa kutumia mabati ya Msouth kwani nina tumia vipimo na kukata mabati vizuri na kuhakikisha kuna kuwa na slope nzuri ili kusaidia maji na taka taka kutoa kutuama , pia nina msikiliza mteja wangu yeye anataka paa lake liwe la disini gani na kisha tuna piga hesabu ya gharama zitakazo tumika na ushauri Kwa mteja wangu nibure
Materials Included
- Mabati ya Msouth (Per Second)
- Mbao (Per Second)
- Misumari (Per Second)
- Kofia (Per Second)
- Valley (Per Second)
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina hakikisha eneo langu la kazi Lina kuwa na uangalizi mzuri na vifaa vina wekwa sehemu nzuri
Quality Control
Nina hakikisha natumia vipimo kupima na kukata bati pamoja na mbao
Nina hakikisha Nina nunua vifaa vyangu kwenye maduka mazuri na vilivyo bora pia vya kisasa
Budget Control
Nina mpatia mteja wangu mahesabu ya gharama zitakazo tumika.
Schedule Control
Nina hakikisha namaliza kazi yangu ndani ya muda tulio kubaliana na mteja wangu
Satisfaction Control
Nina msikiliza mteja anaongeleaje huduma yangu na kuchukua ushauri wake
Category
Corrugated Sheet Roofing, Shingle Roofing, Tile Roofing
Chronology
Published9 Aug 2024
Modified9 Aug 2024
AuthorEmmanuel Simon