Details
Nina toa huduma ya kupaka rangi majumbani Kwa kutumia rangi za aina mbali mbali zenye ubora na za kisasa zaidi Kwa kutumia vifaa vilivyo bora na vya kisasa ambavyo vina saidia kwenye swala zima la upakaji wa rangi,pia nina msikiliza mteja yeye anataka rangi za aina gani kwenye nyumba yake na kumpatia mahesabu ya gharama zitakazo tumika.
Materials Included
- Rangi (Per Second)
- Brushi ya kupakia rangi (Per Second)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kazi zote zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora na njia za kisasa ili kuhakikisha nyumba ina pendeza
Budget Control
Mteja anapatiwa gharama nzima ya material zitakazo tumika.
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi ina malizika ndani ya muda tulio kubaliana na mteja
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhika Kwa kumuuliza maswali ya namna anavyo iona huduma yetu
Chronology
Published12 Aug 2024
Modified12 Aug 2024
AuthorGoodluck Munisi