Details
Nina uzoefu wa kupaka rangi kwenye kuta Kwa kutumia pebble plaster ambazo ni zakisasa na kufanya nyumba yako iwe na mvuto na ina zuia kupaka rangi mara kwa mara pia mteja ana sikilizwa anataka rangi zipi ziwekwe kwenye nyumba yake na anapatiwa bajeti kulingana na gharama zitakazo tumika
Materials Included
- Rangi za pebble plaster (Per Second)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kazi zote zina fanywa site hivyo usalama ni wakutosha.
Quality Control
Tuna hakikisha tuna pendezesha nyumba yako kwa ubora na kufanya iwe na mvuto
Budget Control
Mteja ana pewa gharama nzima ya matumizi kulingana na ukubwa wa kazi yake
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi inaisha Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja anasikilizwa na ananafasi ya kutoa maoni yake kwetu
Chronology
Published12 Aug 2024
Modified12 Aug 2024
AuthorGoodluck Munisi