Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 759.12 / Sq Metre Sq Metre
Duration
24 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Goodluck Munisi
Goodluck Munisi
Fundi wa epoxy floor na kupiga rangi za ukutani Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kuweka urembo kwenye sakafu Kwa kupiga rangi ya epoxy na kuacha sakafu ya nyumba yako ikiwa na mvuto na ikipendeza Sana ,Nina tumia vifaa vya kisasa ambavyo vina nisaidia kugharisha sakafu kabla ya kuweka rangi na mteja anasikilizwa Kwa kile anacho kihitaji na mwisho Nina mpatia budget nzima ya gharama zitakazo hitajika kwenye ujenzi huo

Materials Included

  • Rangi ya epoxy floor (Per Second)

Quality & Control Plan

Safety Control Kazi zote zina fanyika site hapo hapo hivyo usalama ni wakutosha kabisa
Quality Control Tunatumia vifaa vilivyo Bora kabisa na vya kisasa hivyo ina tusaidia kutengeneza kile kilicho bora
Budget Control Budget ina tolewa kulingana na ukubwa wa kazi husika ambayo tuna enda kuifanya
Schedule Control Tuna hakikisha tuna maliza ujenzi Kwa muda tulio kubaliana na mteja wetu
Satisfaction Control Mwisho mteja anasikilizwa kama ameridhika na kazi na kusikilizwa ushauri anao utoa

Category

Flooring

Chronology

Published12 Aug 2024

Modified12 Aug 2024

AuthorGoodluck Munisi

Tags

No tags available

Service Data

Category
Flooring
Type
Physical Work
Rate
USD 759.12 / Sq Metre
Duration
24 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Goodluck Munisi
Comments
No reviews recorded