Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 37.96 / Room Room
Duration
5 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Room)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Erick John
Erick John
Fundi wa rangi za nyumba Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kupaka rangi za majumbani kwa kutumia rangi aina ya drewa na biko tekx kwa kuzingatia ubora wa kisasa na ubunifu wa hali ya juu pia niko na mafundi ambao wana niwezesha katika swala zima la ujenzi na mteja ana sikilizwa kwa kile anachotaka pamoja na rangi anazotaka tumuwekee kwenye nyumba yake

Materials Included

  • Ndoo ya rangi (Per Kilogram)

Quality & Control Plan

Safety Control Shuguli za ujenzi zinafanyika site hivyo usalama ni wakutosha kabisa
Quality Control Tuna zingatia ubora wa rangi Tuna zingatia mchanganyo mzuri wa rangi
Budget Control Tuna hakikisha mteja anapatiwa gharama nzima itakayo yumika
Schedule Control Tuna zingatia muda tulio kubaliana na mteja wetu
Satisfaction Control Tuna hakikisha mteja ameridhika kabisa na kazi yetu

Category

Color Mixing, Painting

Chronology

Published2 Sep 2024

Modified2 Sep 2024

AuthorErick John

Tags

No tags available

Service Data

Category
Color Mixing, Painting
Type
Physical Work
Rate
USD 37.96 / Room
Duration
5 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Erick John
Comments
No reviews recorded