Details
Nina toa huduma ya kuweka urembo kwenye nguzo za nyumba kwa kuzingatia ubora na kisasa zaidi pia tuna msikiliza mteja kwa kile anachokitaka pia tuna zingatia ubora wa mapambo na kufanya kazi kwa wakati
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli za ujenzi zinafanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa kisasa zaidi
Tuna hakikisha urembo unavutia
Budget Control
Tuna hakikisha mteja ana patiwa gharama za ujenzi
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi zinaishia kwa wakati tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja wetu ana ridhishwa na kazi zetu
Category
Color Mixing, Plastering
Chronology
Published2 Sep 2024
Modified2 Sep 2024
AuthorErick John