Details
Nina ujuzi wa kupaka rangi aina ya decor plus kwa kuzingatia ubora wa kisasa na ubunifu wa hali ya juu pia mteja anasikilizwa kwa kile anacho kihitaji na huduma zetu ni bora na zina zingatia mchanganyo mzuri wa rangi
Materials Included
- Rangi ya decor plus (Per Kilogram)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote zinafanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa vipimo
Tuna zingatia ubora wa rangi
Budget Control
Tuna hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima ya vifaa
Schedule Control
Tuna zingatia muda tulio kubaliana na mteja wetu
Satisfaction Control
Tuna hakikisha kuwa mteja anaridhishwa na kazi zetu
Category
Color Mixing, Painting
Chronology
Published2 Sep 2024
Modified2 Sep 2024
AuthorErick John