Details
Nina toa huduma ya kutengeneza picha mbao zenye mvuto mzuri na mteja anaweza kuziweka sehemu yeyote kama vile mezani, ukutani na maofisini pia mteja ana tupatia picha anayo hitaji itengenezwe na ana tengenezewa Kwa gharama nafuu kabisa
Materials Included
- Picha ya mteja (Item)
- Sugar (Metre)
- Kibao cha A4, A3,A2, au A1 (Item)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli za utengenezaji Zina fanyika sehemu nzuri hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa picha ya mteja wetu pamoja na ku edit picha Ili izidi kuvutia
Budget Control
Tuna mpatia mteja wetu gharama nzima ya kutengeneza picha zake
Schedule Control
Tuna mfikishia mteja picha yake Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna msikiliza mteja atupe mrejesho Kwa alivyoona picha yake
Category
Accessibility Designing
Chronology
Published4 Sep 2024
Modified4 Sep 2024
AuthorAnthon Makanja