Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 341.60 / Sq Metre Sq Metre
Duration
7 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Anthon Makanja
Anthon Makanja
Picha mbao Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kuezeka paa Kwani nina vijana ambao wame bobea kwenye swala zima la uezekaji wa mapaa, na tuna tumia vifaa Bora na vya kisasa kuhakikisha mteja ana pata kile kilicho bora kabisa na tuna panga budget na mteja pia tuna mpatia ushauri pale unapo hitajika

Materials Included

  • Mbao (Metre)
  • Misumari (Per Kilogram)
  • Mabati (Per Single Floor House 150 Sqm)

Quality & Control Plan

Safety Control Shuguli zote za ujenzi zina fanyika site hivyo ulinzi ni mkubwa.
Quality Control Tuna tumia vifaa vilivyo bora na vinavyo tusaidia kutengeneza bati lenye slope nzuri
Budget Control Tuna kaa na mteja kupanga bajeti nzima ya upauaji na kuhakikisha tuna mshauri atumie material za kisasa
Schedule Control Tuna hakikisha kazi ina Isha ndani ya muda tulio kubaliana na mteja
Satisfaction Control Tuna hakikisha mteja wetu ameridhika na kama kuna changamoto tuna itatua Kwa wakati Tuna usikiliza ushauri wa mteja juu ya kazi yetu anavyo iona na kuufanyia kazi

Category

Corrugated Sheet Roofing, Shingle Roofing

Chronology

Published13 Aug 2024

Modified13 Aug 2024

AuthorAnthon Makanja

Tags

No tags available

Service Data

Category
Corrugated Sheet Roofing, Shingle Roofing
Type
Physical Work
Rate
USD 341.60 / Sq Metre
Duration
7 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Anthon Makanja
Anthon Makanja |
0.0 (0)
| 14 Services
Comments
No reviews recorded