Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 379.56 / Sq Metre Sq Metre
Duration
20 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Anthon Makanja
Anthon Makanja
Picha mbao Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina toa huduma ya kutengeneza makabati ya majikoni kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa ,pia nina zingatia vipimo wakati wa kupima square meter za eneo ninalo enda kuweka kabati na nina msikiliza mteja wangu anahitaji kabati la aina gani na kumpatia ushauri pale unapo hitajika,pia mteja ana patiwa gharama nzima za utengenezaji na uwekaji wa hilo kabati na nina hakikisha kazi inakuwa ya viwango na kukamilika kwa wakati tulio kubaliana na mteja wangu.

Materials Included

  • Mbao (Per Second)

Quality & Control Plan

Safety Control Usalama ni wakutosha kwani shughuli za ujenzi zinafanyika site
Quality Control Nina zingatia ubora wa vipimo Nina zingatia maelekezo ya mteja
Budget Control Nina mpatia mteja wangu gharama nzima za uwekaji wa makabati ya jikoni
Schedule Control Nina hakikisha kazi ina kamilika kwa wakati tulio kubaliana
Satisfaction Control Nina zingatia ubora wa kazi na mteja wangu ana ridhika kabisa

Category

Furniture Designing

Chronology

Published23 Sep 2024

Modified23 Sep 2024

AuthorAnthon Makanja

Tags

No tags available

Service Data

Category
Furniture Designing
Type
Physical Work
Rate
USD 379.56 / Sq Metre
Duration
20 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Anthon Makanja
Anthon Makanja |
0.0 (0)
| 14 Services
Comments
No reviews recorded