Details
Nina ujuzi wa kuweka tiles kwenye Kuta za nyumba sehemu kama vile Kuta za jikoni, vyoo na maofisini pia Kwa kuzingatia ubora na Kwa gharama za bei na fuu pia mteja ana haki ya kuchagua Kwa kile anacho kitaka na kukabidhiwa gharama nzima itakayo tumika kwenye uwekaji wa tiles
Materials Included
- Tiles (Item)
- Cement (Per Kilogram)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli za uwekaji wa tiles Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tunazingatia uwekaji bora wa tiles za kisasa
Budget Control
Tuna hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima itakayo tumika
Schedule Control
Tuna maliza na kukabidhi kazi Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Chronology
Published26 Aug 2024
Modified26 Aug 2024
AuthorMathew Rongorongo