Details
Nina ujuzi wa kuweka tiles majumbani Kwa kuzingatia vipimo vya hali ya juu na kuifanya nyumba yako ibaki na mvuto mzuri kabisa, pia mteja ana sikilizwa Kwa kile anacho kihitaji na ana tuna mpatia gharama nzima zitakazo tumika kwenye uwekaji wa tiles
Materials Included
- Tiles (Item)
- Cement (Per Kilogram)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli za uwekaji wa tiles Zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa tiles na kufanya nyumba yako iweze kuvutia
Budget Control
Tuna mpatia mteja gharama nzima itakayo tumika kwenye uwekaji wa tiles
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi inaisha Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ameridhika na kazi zetu
Chronology
Published26 Aug 2024
Modified26 Aug 2024
AuthorMathew Rongorongo