Nina ujuzi wa kupendezesha korido za nyumba na hoteli Kwa kutumia gypsum na kuifanya ivutie. Hii ni kupiga brandering, boards na skimming kabisa. Tunamsikiliza mteja wangu ana taka tuweke design gani na kumpatia mahesabu ya gharama zitakazo tumika na pia na mpatia ushauri pale unapo hitajika kulingana na korido ya nyumba.
Published3 Aug 2024
Modified3 Aug 2024
AuthorAlly Chilumba