Nina ujuzi wa kutengeneza kuta za TV kwenye nyumba na kufanya sebule yako iwe na mvuto wa kipekeake pia nina msikiliza mteja ni mjengee kulingana na muundo anao taka na pia na mpatia budget ya gharama na material zitakazo tumika kwenye ujenzi na kutoa ushauri bure kabisa pale unapo hitajika
Published3 Aug 2024
Modified3 Aug 2024
AuthorAlly Chilumba