Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 151.82 / Sq Metre Sq Metre
Duration
1 Years Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Continental Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Ibrahim Sandari
Ibrahim Sandari
Civil engineering Click here to WhatsApp the provider!

Details

Tunatoa huduma za ujenzi wa nyumba maghorofa kwajili ya ya makazi ya familia katika mikoa yote ya Tanzania na hata nje ya nchi kama vile Afrika Mashariki, Zambia, na Malawi. Tukiwa na uzoefu na ujuzi katika ujenzi, tunajenga nyumba kulingana na michoro unayotupatia.

Huduma Tunazotoa

1. Ujenzi Kamili wa Nyumba:
- Tunajenga nyumba kuanzia hatua ya msingi hadi kukamilisha.
- Tunafuata viwango vya kitaalamu na taratibu za kisheria.
- Tunaweza kujenga kwa hatua mbalimbali kama mteja anavyotaka, ikiwa ni pamoja na:
- Msingi
- Kuta
- Zege (slab, columns, beems, walls...)
- Ngazi
- Paa
- Madirisha
- Milango
- Sakafu
- Dari
- Rangi
- Vyoo
- Mabomba
- Umeme
- Mandhari

2. Utaratibu wa Ujenzi:
- Tunajenga nyumba kulingana na makubaliano na mteja.
- Tunaweza kujenga nyumba zote kwa pamoja au kwa awamu kulingana na bajeti.
- Mteja anaweza kujipatia na kuhifadhi vifaa mwenyewe.

3. Muda na Gharama:
- Tunakamilisha ujenzi wa nyumba ndani ya miezi miwili.
- Tunahakikisha nyumba yako inajengwa kwa ubora na viwango vya juu.

Vitu vya Kuzingatia Kabla ya Kujenga Nasi

1. Michoro na Vibali:
- Hakikisha una michoro ya kitaalamu (architectural na structural lazima; ikiwezekana landscaping, electrical, plumbing, mechanical...) na vibali vya ujenzi.
- Tunaweza kusaidia katika kuandaa michoro na kupata vibali vinavyohitajika.

2. Upatikanaji na Usimamizi wa Vifaa:
- Mteja anapaswa kusimamia ununuzi na utunzaji wa vifaa vya ujenzi.
- Hakikisha vifaa vinapatikana kwa urahisi karibu na eneo la ujenzi.

3. Ukaguzi na Mabadiliko:
- Mteja anatakiwa kukagua kazi kwa kila hatua ili kuhakikisha inafanyika kwa usahihi.
- Tutajadili mabadiliko yoyote ya kazi ili kuhakikisha jengo linakidhi matakwa yako.

Category

House Building

Chronology

Published11 Jul 2024

Modified11 Jul 2024

AuthorIbrahim Sandari

Tags

No tags available

Service Data

Category
House Building
Type
Physical Work
Rate
USD 151.82 / Sq Metre
Duration
1 Years
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Continental
Provider
Ibrahim Sandari
Comments
No reviews recorded