Hire Builders

TZ
From TZS 40,000/day
Arusha CBD
10 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu katika swala zima la kuweka mifumo ya bomba kwenye nyumba,naweka mifumo iliyo ya kisasa ya maji Safi na maji taka kwenye nyumba na vyooni pia nina mafundi ambao wamebobea katika kazi hii na ushauri mteja ana patiwa bure kabisa.
Plumbing
TZ
From TZS 15,000/day
dar
5 years
mimi ni fundi mwenye uzoefu katika uwekaji wa njia za maji taka pamoja na njia za maji safi kwa ajili ya jikoni au majia kwaajili ya kuflashi chooni nina uzoezo wa miaka zaidi ya mitano
Plumbing
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
3 years
Fundi wa kupanga na kutengeneza maua kwa kutumia paving blocks
Paving
TZ
From TZS 40,000/day
Ubungo
8 years
Mimi ni fundi ujenzi niliye bobea katika swala zima la uwekaji wa urembo kwenye nyumba kwa kutumia mchanganyiko wa mchanga na cement, Nina uzoefu wa kutosha nikiwa na fanya hii kazi na Nina tengeneza urembo wowote ule kulingana na mteja wangu anavyo taka.
Building Designing Plastering
TZ
From TZS 30,000/day
Kigamboni
9 years
Nina toa huduma ya kutengeneza mabanda ya kuku ,Bata ,kanga, sungura, ng’ombe,mbuzi na mifugo ya aina yeyote ile kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa zaidi pia gharama zangu ni nafuu kabisa pia mteja wangu ataweza kupata kile anacho stahili kukiona kwenye banda lake.
Building Designing
TZ
From TZS 50,000/day
Kigamboni
16 years
Nime bobea kwenye swala zima la upakaji wa rangi pamoja na kuweka epoxy floor zenye ubora na zenye mapambo ya aina mbalimbali pia nina uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi hizi
Gypsum Decoration Painting
TZ
From TZS 30,000/day
Morogoro
15 years
Fundi mwenye uzoefu katika ujenzi pia nime pitia mafunzo ya veta na kupata ujuzi wa hali ya juu na kwa kupitia elimu hii nimeweza kuwa na ubunifu wa hali ya juu katika swala zima la ujenzi na pia kwa kazi hizi naweza kukifikia popote pale nchini.
Gypsum Decoration Building Designing
TZ
From TZS 25,000/day
Nyamagana
6 years
Fundi wa kuweka mapambo katika nyumba
Gypsum Decoration
TZ
From TZS 15,000/day
Mufindi
8 years
Mimi ni fundi wa kufanya welding madirisha kwa ajili ya nyumba yako na uzoefu zaidi ya miaka tisa nafanya kazi hii kwa ubora kabisa na kwa kuzingatia vipimo
Welding
TZ
From TZS 30,000/day
Ilala CBD
10 years
Mtaalam wa ufungaji wa taa za umeme wa jua majumbani na kwenye uzio wa nyumba(fence) pia nina funga taa kwenye bustani ambazo Zina tumika kama mapambo pia tuna kuuzia vifaa ambavyo ni imara kabisa na vinavyo dumu Kwa muda mrefu
Welding Wiring Waterproofing
TZ
From TZS 40,000/day
Temeke
20 years
4 months
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha kwenye swala zima la kupaua Mapaa Kwani Nina uzoefu wa kutosha na nime fanya kazi nyingi hapa Tanzania na nchi jirani za Tanzania na gharama zangu ni nafuu kabisa na pia mteja anasikilizwa kwa kile anacho kihitaji na kuhakikisha anaridhika kabisa na upauaji wangu.
Sheet Roofing Shingle Roofing
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
7 years
Naweka tiles katika nyumba kwa maua tofauti tofauti kupendezesha nyumba na kuimarisha uwanja wakati wa mvua.
Paving
TZ
From TZS 50,000/day
Kigamboni
18 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kutosha katika swala zima la uwekaji wa urembo wa nyumba na hotelini Kwa kutumia mbao na gypsum (gypsum decoration) Nina tengeneza sehemu kama vile sebuleni, jikoni,chumbani,TV show cases pia na fika mikoa yote kutoa huduma hii ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa Kwa ubora na ubunifu wa kisasa na toa ushauri bure kabisa.
Gypsum Decoration
TZ
From TZS 30,000/day
Chemba
11 years
Nina toa huduma ya ujenzi wa mabanda ya kuku wa kienyeji na kuku wa kisasa kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa na kufanya banda lako livutie pia nina uzoefu wa kutosha kwani nimesha tengeneza mabanda ya aina nyingi sehemu nyingi na kwa kuzingatia ubora na mabanda yana dumu kwa muda mrefu.
Building Designing
TZ
From TZS 40,000/day
Arusha
14 years
Mimi ni fundi wa kupaua nyumbani yaani kufanya roofingi kwa kutumia mabati aina zote kama msauzi na mabati ya kawaida kwenye nyumba aina zote
Sheet Roofing Shingle Roofing Tile Roofing
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
15 years
4 months
Mimi ni mtaalam wa kutengeneza vyoo vya kisasa usisumbuke na karo la Maji Taka kamwe! Tuna mfumo bora wa kisasa wa choo usiojaa (BIODIGESTERS) ambao ni mfumo badala wa Mashimo ya kawaida ya choo! (septics and soakpits) Mfumo huu wa kisasa una sifa zifuatazo :- 1. haujai kamwe 2. hakivutwi – hakiitaji kunyonywa na motokaa (boza) 3. hakina harufu 4. Kinatumia eneo ndogo (small space) 4. Vina guarantee na vinafanywa na wataalam 5. Vinafanya vyema hata kwenye chemi chemi 6. Vina muonekano mzuri (vinapendeza kweli) 7. Unafanya vyema hata kwa manyumba makubwa yenye idadi kubwa ya watu. Tunatoa huduma kwa kila mtanzania kokote uliko tunakufikia.
Biogas Installation
TZ
From TZS 50,000/day
Kigamboni
18 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kutosha katika swala zima la utengenezaji wa gypsum board na uwekaji wa urembo kwenye gypsum board nyumbani na mahotelini Kwa kutumia mbao na gypsum,nina tengeneza sehemu kama vile sebuleni(sitting room), jikoni(kitchen),chumbani,TV show cases pia na fika mikoa yote kutoa huduma hii ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa Kwa ubora na ubunifu wa kisasa na toa ushauri bure kabisa.
Gypsum Decoration Structural Designing
TZ
From TZS 50,000/day
Ubungo
11 years
A skilled landscape designer and builder known for his exceptional work on residential projects. With a background in landscape architecture from Ardhi University, he brings the best touch and hands-on expertise to create stunning and sustainable outdoor spaces. Based in Dar es Salaam, Tanzania.
fencing fireplace_installation gazebo_construction landscape_architect Landscaping
TZ
From TZS 50,000/day
Temeke
15 years
Mtaalamu wa kudili na fangasi za kuta pamoja na kufanya water proof ndani na nje ya Tanzania. Jafari ana uzoefu wa zaidi ya miaka 14 katika tasnia hii na amekuwa akitoa huduma bora kwa wateja wetu. Kwa huduma bora na ya kuaminika, Jafari ndiye chaguo sahihi kwako! Ana utaalamu katika waterproofing kwenye concrete slabs, steel tanks, gutters, swimming pools, hidden roofs, expansion joints, na pia kushughulikia epoxy floors na matibabu ya fangasi kwenye kuta. #JafariHamisi #FundiBora #Waterproofing #Tanzania
Flooring
TZ
From TZS 40,000/day
Kinondoni
9 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa muda mrefu Nina ujuzi wa kuweka tiles na urembo Kwa kutumia tiles kwenye nyumba yako, Nimesha fanya kazi sehemu nyingi hapa Tanzania na zote zimekuwa katika ubora wa hali ya juu pia gharama ni nafuu kabisa Kwa wanao hitaji huduma hii
Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
11 years
Mimi ni fundi niliye bobea kwenye utengenezaji wa fremu na milango Kwa kutumia mbao ngumu kama vile mninga na mkongo kwa njia ya kisasa na Kwa gharama na fuu sana
Wood Work
TZ
From TZS 30,000/day
Temeke
9 years
Mimi nifundi ninaye jihusisha na swala zima la uwekaji urembo kwenye nyumba Kwa kutumia mchanganyiko wa cement na mchanga Kwa ubunifu wa hali ya juu na nina uzoefu wa kutosha nikiwa na fanya kazi hii.
Plastering
TZ
From TZS 40,000/day
Kwimba
6 years
Mimi ni fundi urembo pamoja na kupaka rangi kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa pia nina fika mikoa yote pamoja na nchi jirani za Afrika pia nina msikiliza mteja wangu kwa kile ana cho kihitaji na ushauri ni bure kabisa kwa wateja wangu
Gypsum Decoration Painting
TZ
From TZS 30,000/day
Kinondoni
16 years
Natengeneza madirisha na milango ya aluminium pamoja na vioo kwa gharama nafuu katika nyumba na maofisi
Window Installation
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
15 years
Mimi ni mtaalam wa ufungaji wa umeme wa jua na ufungaji wa mifumo mbalimbali ya security pamoja na CCTV camera Kwa kutumia ubunifu wa kisasa na wa hali ya juu na vifaa vya kisasa na niko na mafundi wenye uzoefu wa hali ya juu.
Solar Electricity
TZ
From TZS 40,000/day
Ubungo
19 years
FAABI electrical device provider ltd tuna jihusisha na uwekaji wa mifumo ya umeme Kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa na kuhakikisha nyumba ina kuwa na mifumo bora ya umeme pia tuna zingatia mabadiliko ya ki technologia kwani tuna mafundi mahiri ambao wana badilika kulingana na mazingira ya kitechnologia.
Gate Installation Electricity Safety Security Systems
TZ
From TZS 30,000/day
Kigamboni
14 years
4 months
Nina ujuzi wa kutengeneza mabanda ya mifugo yanayo hamishika kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine pia nina zingatia ubora wa kisasa na mabanda haya ni kwa mifugo kama vile kuku,Bata, sungura, njiwa, na mbwa nina tengeneza kwa ubora na kwa umakini wa hali ya juu na kuhakikisha mteja wangu ana pata kile anacho kihitaji pia nina fika mikoa yote kwa huduma hizi.
Building Designing
TZ
From TZS 15,000/day
Mto wa mbu
6 months
Mini ni fundi wakutrmgeneza mashimo ya majitaka Kwa njia ya kisasa amabayo itamfanya mtumiaji asiingie garama Zaid baada ya kutengeneza Kwan Lina tengenezwa Kwa matofali ya kisasa na maalumu kwaajili ya mashimo hayo ya maji taka
Door Installation Gate Installation Glazing Window Installation
TZ
From TZS 40,000/day
Karatu
7 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kutosha katika swala Zima la ufungaji wa mabomba ya nyumbani Kwa kuzingatia ubora na umakini wa hali ya juu, pia niko na mafundi wenzangu walio bobea kwenye kazi hii hivyo kazi ina fanyika Kwa ubora zaidi
Plumbing
TZ
From TZS 30,000/day
Mafinga...
9 years
Mimi ni fundi ninayofanya tailing kwenye nyumba yako naweka tyles chuoni kwenye kuta kwenye sakafu kwa kuzingatia ubora za kuweka namna nzuri ya kuweka urembo na uzoefu zaidi ya imekaa saba
Tiling
TZ
From TZS 20,000/day
Kigamboni
7 years
Bustani nzuri ya maua inapendezesha nyumba kuwa na muonekano mzuri na wa kuvutia kwa maua mbalimbali
Gardening
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
18 years
4 months
Mimi ni fundi ninaye jihusisha na swala zima la uchimbaji wa mashimo ya maji taka yasiyo jaa maji Kwa njia ya kisasa na Kwa kutumia eneo dogo, na mashimo Yana jegwa Kwa ubora hayatoi harufu, pia tuna weza kujenga sehemu zote za chemchem na miamba bila tatizo na technologia yetu imedhibitishwa kitaalamu na inafaa Kwa matumizi ya jamii pia tuna toa huduma hii mikoa yote ya Tanzania.
Soil Excavation Bricklaying
TZ
From TZS 40,000/day
Mkuranga
17 years
Mimi ni fundi ujenzi mwenye uzoefu na niliye bobea kwenye swala zima la kuchimba msingi wa nyumba na kujenga hadi kwenye linta pamoja na kupiga plaster Kwa kutumia vipimo na vifaa pia nina toa ushauri bure Kwa mteja wangu kulingana na aina ya nyumba anayo itaka Kwa kuzingatia ukubwa wa eneo lake
Building Setting Out Plastering
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
30 years
Mimi ni fundi wa kuweka painting na gypsum design skimming painting s kwenye nyumba kubwa huu ubora wa hali ya juu na kukuzingatia nguvu vinavyohitajika na kwa bei nafu u
Gypsum Decoration Painting Plastering Wallpaper Installation
TZ
From TZS 30,000/day
Ilala
8 years
Mimi ni fundi umeme wa majumbani na maofisini katika kufanya wiring, kurekebisha penye tatizo na kufunga taa za aina zote
Electrical Troubleshooting Electricity Safety Wiring
TZ
From TZS 30,000/day
Temeke
9 years
4 months
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha katika swala zima la uchomeleaji wa mageti,magrili, madirisha na vitanda nina uzoefu wa kutosha na nina tumia vifaa vilivyo Bora na vinavyo niwezesha kufanya kazi Kwa ufanisi, pia kwa huduma hii naweza kuku fikia popote pale Tanzania na tuna hakikisha mteja wetu anapata kile kilicho bora na kufurahia kazi zetu.
Steel Fixing Door Installation Gate Installation Welding Window Installation
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
9 years
Fundi wa kutengeneza milango na vifaa vyote vya samani.
Carpentry
TZ
From TZS 40,000/day
Temeke
10 years
Nina ujuzi wa kutengeneza milango na madirisha ya aluminium pamoja na kuweka majumbani kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa hali ya juu pia nina tumia vipimo na vifaa ambavyo ni imara ambavyo vina uwezo wa kufanya nyumba yako iweze kupendeza na kuwa na mvuto wa kisasa zaidi.
Building Designing
TZ
From TZS 30,000/day
Ilala
8 years
Mimi ni fundi niliye bobea kwenye swala zima la upakaji wa rangi Nina uzoefu mkubwa nikiwa na fanya kazi hii nina tumia vifaa Bora na rangi zinazo pendeza kulingana na mteja anavyo taka na nina badilika kulingana na mazingira
Painting
TZ
From TZS 20,000/day
Town
1 Years
No Skill Listed
TZ
From TZS 30,000/day
Kahama
6 years
Naweka tiles katika nyumba kwa njia ya kisasa kabisa na kufanya nyumba ipendeze kwa maua mbalimbali.
Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
ubungo
10 years
Fundi wa kutengeneza madirisha na milango ya aluminium, pia tunabuni na kutengeneza vyumba kutumia aluminium ndani ya nyumba
Door Installation Window Installation
TZ
From TZS 30,000/day
Temeke
11 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kupiga plasta za nyumba na kuweka urembo Kwa kutumia cement na mchanga Kwa ubora wa hali ya juu na kisasa zaidi
Plastering
TZ
From TZS 30,000/day
dar
11 years
mim ni fundi wa ufungaji wa mabomba maofisini majumbani na hata kwenye makampuni mbalimbali kwa kuzingatia ubora ulio na uaminifu mkubwa kama ilivyo kauli mbiu yetu
Plumbing
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
15 years
4 months
Mimi ni fundi ninaye jishunghulisha na swala zima la upauaji wa Mapaa ya nyumba kwa kutumia mabati ya aina mbali mbali kama vile Msouth migongo mipana na midogo pia tuna ezeka Mapaa ya kuchimbia (hidden roof) kwa njia ya kisasa na ubora wa hali ya juu.
Sheet Roofing Shingle Roofing Tile Roofing
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
30 years
Mimi ni fundi ujenzi wa biogas natengeneza bio gesi kwa muda mrefu na uzoefu zaidi ya miaka thelathini katika kazi yangu kwa hiyo usisite kuja kutengeneza bayo gesi na mimi kwa uzoefu rafiki wa mazingira tunafika popote na bei ni nafuu kabisa
Biogas Installation
TZ
From TZS 40,000/day
Mwanza
9 years
Mimi nina uzoefu wa zaidi ya miaka 9 katika ufanyaji wa plumbingi katika nyumba na kwa ustadi wa hali ya juu kabisa na kuzingatia ubora nimefanya kazi nyingi mkoa wa mwanz na dar es salaam
Plumbing
TZ
From TZS 40,000/day
Temeke
11 years
Mimi ni fundi mkongwe ambaye nime bobea katika swala zima la uwekaji wa tiles pia nina toa huduma bora kabisa na kisasa Zaidi, mteja kwetu ni mfalume na nina hakikisha ana ridhika na kazi zangu
Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
Kinondoni
8 years
Ninapaka na kupendezesha nyumba aina zote kwa rangi nzuri na za kudumu ndani na nje ya nchi kwa gharama nzuri
Painting
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
8 years
Natengeneza vyungu vya maua, pamoja nakutengeneza bustani katika nyumba, ofisi, hotel na maeneo mbalimbali.
Gardening
TZ
From TZS 30,000/day
Ilala CBD
10 years
Mimi ni mtaalam wa ufungaji wa taa za umeme wa jua majumbani na kwenye uzio wa nyumba(dance) pia nina funga taa kwenye bustani ambazo Zina tumika kama mapambo pia tuna kuuzia vifaa ambavyo ni imara kabisa na vinavyo dumu Kwa muda mrefu
Solar Electricity
TZ
From TZS 30,000/day
Temeke
7 years
Nina jenga mabanda ya kuku kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu pia nina uzoefu wakutosha katika swala zima la ujenzi wa mabanda na kuhakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi yangu pia nina tumia vipimo ambavyo vina niwezesha katika ujenzi wa banda.
Building Designing
TZ
From TZS 20,000/day
Dar
14 years
Fundi mwenye uzoefu wa kufanya plumbing katika nyumba zote, ghorofa, na nyumba za kawaida. Nina uzoefu wa miaka mingi katika kazi hii ya uwekaji wa mabomba. Niko Dar es Salaam naweza kuweka mabomba ndani na nje kwa matumizi ya maji safi na maji machafu, pamoja na mashimo ya maji taka.
Heating Installation Plumbing
TZ
From TZS 30,000/day
Gongola...
13 years
4 months
Nina jihusisha na uwekaji wa tiles majumbani kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa pia kazi zangu zina zingatia vipimo na zina mvuto mzuri na nina uzoefu wa muda mrefu kwani nime fanya kazi na watu wengi tofauti tofauti pia namfikia mteja wangu popote pale Tanzania.
Tiling Plastering
TZ
From TZS 40,000/day
mwanza
7 years
Mimi ni fundi wa kufanya plumbing kwenye nyumba yako kwa kuzingatia matumizi mazuri ya vifaa ambavyo viatakuhakikishia ubora na kudumu kwa muda mrefu nina uzoefu wa zaidi ya miaka 7 na nimefanya kazi nyingi mwanaza na nje ya mkoa wa mwanza na pia katika taasisi za serekeli kwenye majumb na maofisini na kazi zilikuwa ora kabisa kwa beipoa kabisa
Plumbing
TZ
From TZS 30,000/day
Hai
9 years
Nina ujuzi wa kufanya skiming pamoja na kupaka rangi majumbani kwa kuzingatia ubora wa kisasa kwa ubunifu wa kisasa zaidi,pia nina toa ushauri bure kabisa kwa mteja wangu na kumfanya aridhike na kazi zangu
Painting
TZ
From TZS 40,000/day
Ilemela
15 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakuweka mabomba Kwa ubora wa kisasa na Kwa kutumia vipimo, pia nina mafundi ambao wana ujuzi wa kuweka mapomba na wamesha fanya kazi sehemu nyingi hapa Tanzania.
Plumbing
TZ
From TZS 30,000/day
Temeke
9 years
Fundi wa kupaua nyumba mabati ya msauzi pamoja na kufanya brandering
Brandering Sheet Roofing
TZ
From TZS 20,000/day
Goba
6 months
Mini ni fundi wakupiga finishing Kwa nyumba zote Kwa kutumia ujuzi na uzoefu mkubwa kutoka kwetu
Door Installation Gate Installation Glazing Window Installation
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
9 years
Mimi ni fundi ni liye bobea kwenye nyanja tofauti tofauti katika swala zima la ujenzi nina fanya upauaji wa nyumba pamoja na kufanya finishing ya gypsum pia nina ambatana na mafundi waliyo bobea ili kuhakikisha kazi inakuwa nzuri kabisa na yenye mvuto
Gypsum Decoration Sheet Roofing Shingle Roofing
TZ
From TZS 40,000/day
Mafinga
11 years
Mimi ni fundi ninayehusikana nimekufanya ujenzi wa nyumba yako kuanzia kwenye msingi mpaka mwisho wa kupauwa kufanya skiming kwa ubora kabisa
Sheet Roofing Plastering House Building
MN
From TZS 20,000/day
Town
1 Years
No Skill Listed
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
7 years
4 months
Nina toa huduma za ununuzi, ujenzi Kwa kutumia tangastone na burning bricks na ubunifu wa nyumba(House design) ndani ya nchi na nchi jirani za Africa, tumesha fanya kazi sehemu nyingi na tuna uzoefu wa kutosha usio pungua Miaka sita pia tuna fanya kazi zenye viwango na kuhakikisha mteja ana ridhika na kazi zetu na kwa wale wateja wanao hitaji ushauri tunatoa ushauri bure kabisa kabla ya mteja kuchukua hatua yakujenga ili kuhakikisha kazi ina kuwa yenye viwango na mvuto mzuri.
Building Designing Bricklaying Stonework
TZ
From TZS 40,000/day
Temeke
34 years
Ninahusika na kazi za Upigaji wa plasta pamoja na uwekaji wa urembo kwenye Kuta kwa kutumia cement na mchanga Ninauzoefu wa kufanya kazi ndani ya Dar es Salaam,mikoa mbali mbali ndani ya Tanzania
Tailoring Plastering
TZ
From TZS 40,000/day
Ilala
11 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kufanya finishing za majumbani Kwa kuweka fance za umeme, kufunga geti, kufunga video door phone pamoja na alarm za majumbani Kwa umakini na ubora wa hali yajuu,pia tuna zingatia ubora wa kazi na mabadiliko ya ki technologia.
Gate Installation Electricity Safety Security Systems
TZ
From TZS 40,000/day
Kinondoni
17 years
Mimi nifundi mwenye uzoefu wa kutosha kwenye kazi hiizi za utengenezaji wa madirisha,milango ya aluminium pamoja na magrili Kwa ubora na umakini wa hali ya juu nina fika mikoa yote hapa Tanzania na nchi jirani za Africa
Door Installation Welding Window Installation
TZ
From TZS 30,000/day
Kigamboni
8 years
Naweka tiles katika nyumba aina zote kwa kutengeneza maua tofauti tofauti kulingana na mteja apendavyo
Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
Mufindi
9 years
mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kufanya kazi kuweka masinki chooni na kuweka tailis kwa ubora wa hali ya juu kabisa na kwa kusingatia ubora wa nyumba pamija na choo chako bila ya kusahau majikoni nako tunaweka
Flooring Tiling
TZ
From TZS 40,000/day
Irugus
5 years
Mimi ni fundi wa kuweka tilis katika nyumba yako kwa kuzingztia ubora wa kweli na kwa uzoefu na uaminifu mkubwa na kwa kuzingatia ubora na uzoefu wa zaidi ya miaka mitano
Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
Ilemela
6 years
Ninatengeneza gypsum board katika nyumba kwa maua mbalimbali kupendezesha nyumba katika maeneo yote nchini
Gypsum Decoration
TZ
From TZS 30,000/day
Ludewa
9 years
fundi plastering kwa nyumba yako kwa ustadi na uzoefu wa miaka tisa katika kazi hii ya plastering pamoja na uwekaji wa urembo kwenye nyumba yako kwa uaminifu na kwa bei ambayo ni rafiki
Plastering
TZ
From TZS 50,000/day
Ubungo
10 years
Mtaalamu mzoefu katika ujenzi nyumba, haswa ktk ufundi uashi na ujenzi matofali, aliyehitimu kutoka Chuo cha Ufundi Arusha. Tangu utotoni, alifundishwa na familia yake, ambao pia wanahusika katika ujenzi wa makazi. Akiwa Ubungo, Tanzania, Charles anafanikiwa katika ujenzi wa makazi kwa ujumla, akitoa ubora na uimara katika kila mradi. Ujuzi wake unajumuisha uwekaji wa matofali, kazi za zege, uwekaji wa sakafu, upakaji wa plasta, mabomba, paa, na zaidi, kuhakikisha utoaji wa huduma kamili. Charles anaunganisha uzoefu wa vitendo na mafunzo rasmi, akiwa na dhamira ya kutoa ubora katika ujenzi wa makazi kote Tanzania.
Flooring Tiling Plumbing Bricklaying Masonry Plastering
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
30 years
Mimi ni fundi wa kupauwa nyumba aina zote ana nyumba za kawaida mna uzoefu wa zaidi ya miaka kumi na tano nipo dar es salaam nimefanya kazi hii nyingi sana ya dar es salaam kasi nzuri na pia dar es salaam tunafika
Gypsum Decoration Sheet Roofing Shingle Roofing